Makapuku Forum

Shukrani mkuu
 
Alshaabab aisee
 
Hata kikeke jana ilishindikana, sijui kwenye TV tujaribu wapi, Qtv ya Kenya ilishaondolewa hewani siku nyingi sana
Jana kikeke alikuwa anaongea yake sauti inatoka sijui voice of America [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tutapata shida sana make ile nusu saa ya usiku huwa naifatilia haswa ...
 
Moyale siku hizi ni salama sana, zamani ilikuwa vigumu sana kwenda Moyale kwa gari na ukarudi salama

Ndio iliyosababisha Kenya to Ethiopia kutumia ndege tu wakati huo, na ukiikosa Ethiopian airline, lazima uende dubai ndio urudi tena Ethiopia
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Waooow waooow waooow waooow waooow

Najaribu husnaaaaa go to do go to do.......

Thanks so much mtaasisi kwa burudani ya nguvu

Kwa mbaali nimesikia jina la kipenzi cha Nyagei...... Linamo mama show love kwa KF
 
Shimba ya buyenze umeamkaje

Ngoja nikutoe shaka, bitoz hajaanza leo kuwataja wasukuma au jana, tangu huu uzi umeanza mara nyingi hupenda kutaja wasukuma nani kwa utani si kwamba kwa sababu wewe upo au haupo hapana

Mpaka mimi ilifikia wakati wakati nikawa namtania kwamba lazima aoe msukuma maana si kwa mahaba hayo kwa wasukuma
Kifupi bitoz anawapenda sana wasukuma [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ndio maana hata jana alisema kiutani tu kuwa ile jamaa haipo, akiwa na sababu kuwa uje, na kweli ulikuja, sema ulikuja na tafsiri tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…