Tuna ushamba fulani hivi wa kutoizunguka dunia sababu ya umaskini hivyo kila anapokuja staa mkubwa(kumbuka yaliyomkuta Kaka) inakuwa ishu
Ila ningekuwa na uwezo wa kwenda Ulaya kulekule kuwaona isingekuwa huu ubwege unaendelea
Ulaya mara nyingi ukitaka kupiga nao picha, unawasubiri tu wakati wanashuka kwenye bus kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, hapo huwa wako free sana
Ulaya mara nyingi ukitaka kupiga nao picha, unawasubiri tu wakati wanashuka kwenye bus kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, hapo huwa wako free sana
Mdau nimeeleza mwanzo kwamba "ushamba" unaotusumbua ni ule kutoizungukazunguka dunia na kujichanganya mfano tuna mchezaji mmoja tu Ulaya(najua kuna wabongo kibao tu ni watu wa safari za majuu) ila wabongo tupo nyuma sana
Vinginevyo kwa "passion" upo sahihi
Ni hivyo tu
.......