Makapuku Forum

Dogo amefanya kwenda kumkumbatia rooney?

Kwanini unachukulia ni ushamba?

I am just looking this from an inclined angle..? Why bongo ni ushamba?
Mdau nimeeleza mwanzo kwamba "ushamba" unaotusumbua ni ule kutoizungukazunguka dunia na kujichanganya mfano tuna mchezaji mmoja tu Ulaya(najua kuna wabongo kibao tu ni watu wa safari za majuu) ila wabongo tupo nyuma sana

Vinginevyo kwa "passion" upo sahihi
Ni hivyo tu
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…