Makapuku Forum

1
Chelsea msimu huu wanazengua kufanya maamuzi ya usajili ....Bakayoko ndo hivo kila siku maneno ...

Ila mfano dili imetikiiii....


Weka kwanza akilini kwanza ..Hazard akae winga , Pedro/willian ndani ...moses ndaniiii ....alonsoo ndaniiiii ...Mkata umeme Kantelee ndaniiiii ....sijamaliza Bakayoko ndaniiiiiii ....bwanabwanaaaaaaa nyuma sina hata la kuongeza mawazir wa ulinzi wanajitoshelezaa....

Turudi kwenye mada
....spidi za huyu jamaaa weka vyengaa vya Hazard na shoto la pedro .....hasikwambie mtu tutachukiwa na wengiii


Nawaza tu ....


Ila cha kufanya ngoja nifanye ku subscribe kwenye acount zake ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…