Makapuku Forum

Ops nilimaanisha ule wa mazingira...

Hua unamsaidia mkeo kazi gani hapo home lakini?
Mara nyingi tu ila mpaka jioni maana asubuhi nakuwa job kumtafutia pesa.

Swala la usafi wa mazingira always huwa tunafanya kila alhamisi.

Na huku kwetu sie wa mikoani hatuna Leaders ila tuna Writters tu.

Jingine madam?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…