AiseeeeAhahahhh babu ananifurahisha sana sijui ndio kutaniana na mjukuu mzeewakungoa leo naona ameamka na mimi
Nipo na Manga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwenye ule uzi naona umetukimbia kaniambia anaumwa sijui nini nimemuuliza hajarudi
Me naelewa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemela kama nakuona unacheka sana kama unaelewa
Mie naona nitakuwa wa kwanza mke mwee halaf kule season 6 imeshaisha kwa lege mambo ni motoooNaandika majina ya wapiga kelele
Ndio jamaan Jimena usimfanyie hivyo kaka yetuKwani washakuwa mawifi zangu??
Ahahahh[emoji3] [emoji3] [emoji3] yangeyange
Asante Bitoz kwa pichaKibonge huyu ana kipaji ila ni bingwa wa kutumia
Asingekuwa mwingereza angeshauzwa
.
.
.
Tukutane baadaye wadau
Niwatakie mchana mwema
........
OoohNipo na Manga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwenye ule uzi naona umetukimbia kaniambia anaumwa sijui nini nimemuuliza hajarudi
Sawa cuzoo nimefurahi sana kumbe watu tunatoka njia mojaNdio na kuanzia sasa we utakuwa binamu yangu (cuzzo)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dada acha tu ya leo kaliAiseeee
Najua ila unakufa na tai shingoni [emoji3]Me naelewa ujue
Sawa dadaOooh
Niko job ujue.... Naibia tuu
Hiyo inaitwa akili ya bangi maana unikiwa umetumia bangi huwezi kufanya mambo yako kwa usahihiImenichekesha tu mtu aliyebebwa mti wenyewe mfupi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Huu ubabu vipiii lakini kutoka kaka mpaka sasa unataka nikuite babu jaman
Sawa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongea tu kaka jamaan
Ndio. Usikute ndugu[emoji3][emoji3][emoji3]Sawa cuzoo nimefurahi sana kumbe watu tunatoka njia moja
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Pamoja mkuu
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji109] [emoji109] [emoji109]
[emoji122]Naamini asemayo
Kwani kulikoni shemWe bado unamtafutaga tu huyo demi[emoji134] [emoji134] [emoji134]