Makapuku Forum

Binamuuuuu nimeshachagua mwenyewe heshima yako kwanza nilikumiss pia jamaan mama mchuchu anakusalimia sana


Nimeona uchaguzi wako, dah umenikumbusha mbali sana maana enzi hizo jamaa rapa anavuta bange tu hajaanza kutumia ngada. Nimeupata huo wimbo lakini una dakika 11, maana naona waliurekodi kwenye VHS kwanza. Nikikosa version nzuri natuma hivyo hivyo, maana wewe unaupenda
 
 
Sawa binamu ukikosa tuma hivyo hivyo kuna kipindi aliacha kabisa ngada na kwenda uk kuishi sijui kama alirudi jamaa anajua sana kurap
 


kwa kweli aunt nadhani kuna mtu anairoga simu yangu au ananiroga mimi binafsi. Nimeweka maua na nikaweka tangazo humu kuwa natest maua, lakini ajabu hayajaonekana, na hata nikiangalia tena hayaonekani.

Hivi unadhani hii ni kawaida?

Aliyenipa simu anajua alichofanya
 
Mmmh
 
Hii weka mbali na watoto
 
binamu sitaki uchochezi mie ujue we na mjomba ako mtajuana wenyewe ndugu nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…