Makapuku Forum

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Umenena vyema huu uzi kila wanaojaribu wanashindwa make kwanza utasikia wanataka wafanya kama makapuku ....wale chizi wa likes wenyewe wanashindana reply nadhani lakini kwa elimu kapuku mwanzo mwisho
Habari ndio hiyo

Sent from my E5653 using JamiiForums mobile app
 
Maombezi yenu jamani naona huu usiku niwKa kwangu kwa maatwso ninayoyapata..
Pole sana ...muhimu usiwaze sana hata kama unaumia just relax jione uko poa make ukizidi kuwaza ndo ata uchocheajii wa uzwalishwaji wa HCl acid tumboni unazidiii jambo ambalo litazidisha tatizo ...kama kuna dawa umezitumia relax...alafu kula vitu ambavyo combustion yake mwilini havizalishi ata chembe ya acid ....ila ukibugia machips yenu plus maayonizee utaadithia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…