Ulihisi kufanya nn kwani!!?
Nawe pia mdauUsiku mwema wadau
Ha hahahhaa, nilihisi utafanya kama yule jamaa aliyeenda kukojoa kwenye ukuta wa Ikulu akidhani ni soko la samaki. Aliambiwa akojoe kuzunguka ukuta wote, uzuri walimletea maji anywe. Niliondoka kuwahi pantoni sikujua kama alikojoa au kujikojolea
Ya kweli hayoo mpendwaa?!
Nikikudanganya sala zinazopigwa humu itakuwa sizifuatilii ujue. Kweli tena
Hakiyanani nimesema tayari
Mmmh Obe !Ha hahahhaa, nilihisi utafanya kama yule jamaa aliyeenda kukojoa kwenye ukuta wa Ikulu akidhani ni soko la samaki. Aliambiwa akojoe kuzunguka ukuta wote, uzuri walimletea maji anywe. Niliondoka kuwahi pantoni sikujua kama alikojoa au kujikojolea
UbarikiweUsiku mwema wadau
UbarikiweAmen, Asante mama mchungaji kwa maombi ya usiku, nawe pia ufunikwe kwa damu ya Yesu
Tambala hiloAndha kaanon
Aksante sana mama ...ubarikiweMWANZO 18
1.BWANA akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre,alipokua ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2.Akainua macho yake akaona,na tazama ,watu watatu wamesimama mbele yake ,Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema ,akainama mpaka chini.
3.Akasema BWANA,wangu ,kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
CHUNGUZA....Mara ngapi MUNGU ametutembelea ili kutuletea majibu ya maombi yetu nasi hatukutambua kwa kutojua?
TUMUOMBE MUNGU atufungue macho ya rohoni ili tumwone kila mara anapokuja kwetu ,kupitia watu,baraka,mapito,na hata furaha ili tumlaki/tuwalaki na kushukuru kwa fadhili za Baba Mungu wetu na KUMUOMBA ASITUPITE...HALELUIYA
NAWATAKIA MCHANA MWEMAMBARIKIWE
Siku iwe njema na kwako piaZABURI 34
3.Mtukuzeni BWANA pamoja nami,na tuliadhimishe jina lake pamoja.
4.Nalimtafuta BWANA akanijibu,Akaniponya na hofu zangu zote.
Kumtafuta MUNGU kuna malipo...na kila umtafutapo utamuona..utamuona MUNGU kila wakati,maana hata kuamka kwako ni MUNGU si kwa ujanja wala akili zako ni MUNGU ndiye amekupa pumzi hii na hata umeweza kuuona tena muandiko huu,bila yeye HUWEZI
Basi ndugu yangu,rafiki yangu,mpendwa wangu,KAPUKU mwenzangu jiunge nami,ungana nami asubuhi ya leo TUMTUKUZE,TUMSIFU,TUMSHUKURU ,TUADHIMISHE JINA LAKE ..maana ametupa tena NEEMA hii ya Kuiona siku ya leo BURE...ndiyo ..ni ..BURE..JE ? Mwenzangu umelipia chochote?
Pamoja na kutuamsha salama ahadi yake MUNGU kwetu ni kuwa TUKIMTAFUTA .Atatujibu,Atatuponya na HOFU zetu zote..UNA HOFU Gani?
HAKUNA HOFU ISIYOJIBIWA NA MUNGU...MKABIDHI MAISHA YAKO ...
TUOMBE
ASANTE BABA kutuamsha salama,tutakase,tuongoze tufundishe kukutegemea ,tuponye tuhuishe,tubariki..ondoa HOFU zote Mfalme wa Amani ,wewe ni MUNGU USIYESHINDWA,HUJAWAHI KUSHINDWA,HUTASHINDWA..WEWE NI MWANZO WEWE NI MWISHO...Maana umetutoa mbali from ZERO TO HEROES...ASANTE BABA MAANA utatenda kila kitu sawa na mapenzi yako .
Tunaomba tuepushe na hatari za mwili na roho,tuepushe na mitego ya shetani kiburi cha uzima kisituangushe na kutukosesha mbingu,wivu,masengenyo,hasira,uchungu,kukata tamaa havina nafasi kwetu maana sisi ni wathamani ulituumba kwa mfano wako kwa ajili yako si kwa ajili yetu hivyo BABA tunapaswa kukutukuza.
Ponya wagonjwa mahali hapa,fariji wafiwa,wapweke,yatima ,wajane na waliovunjika moyo..ponya majeraha yote BABA katika wewe tuwe washindi.Roho Mtakatifu tuongoze katika yote.
Tunaomba yote katika jina la Yesu Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMAMBARIKIWE
Wakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede
Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu
Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa
Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake
Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho
Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako