Makapuku Forum

Nimekuta hizo story huko nyuma. Niambie ulizima taa na nani?
Nilimsaidia shemdarling aggyjay kuzima taa maana brother EMMYGUY alisahau majukumu yake.
Lakini pia niko njiani kumsaidia kuzima taa lizziebettie kama nikiona Th Name hatambui majukumu yake.

Na wengine wote wanaohitaji msaada wangu i'm always available.

Cc.cute b. &damtanzania.
 
Duh kwa Th name umechelewa tayari ashamvimbisha bila Shaka kaplay part yake vizuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…