Nilicho gundua japo sipendi kuonekana mbaguzi ila dini ni chanzo kikubwa cha umasiki wao
Nasema hivyo kwa kuwa tabia wanazo Fanya nyingi zinakuwa kama za warabu na hiyo hali niliikuta pwani , Lindi ,na Mtwara dar ipo ila wakuja wanawafanya mji uchangamke