Makapuku Forum

Uamuzi wa busara..mara nyingi kikulacho ki nguoni mwako,muhimu kuwa waangalifu
 
2/Martian Flag
Inajulika zaidi kama Mars Flag au Planetary Flag
Ni bendera ya safari ya Mars...inatumiwa na Mars Society na pia Planetary Society
Wenzetu wanajiandaa kuishi huko sisi tunagombea mchanga
.....
 
1/Nazi Flag
Mbunifu wa Hii bendera ni Adolf Hitler sijajua alikuwa na madhumuni gani ila ilikuwa kwa ajili ya uzalendo zaidi
Ikasambaa na kutumika kwenye mataifa kibao kama kiashiria cha unazi kisha ikazuiwa kwenye mataifa mengi miaka ya baadaye
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
 
Naikumbuka ulituhabarishaa
 
Asantee
 
Ubarikiwe sana asante kwa 10 bora kabisa siku ya leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…