Makapuku Forum

9/Semaphores Flag
Hizi bendera maalumu kwa ajili ya kumfikishia ujumbe mtu kwa Lugha picha Na ishara
Mfano kwenye mbio za magari,kuongoza magari barabarani,kwenye soka n.k
Mara ya kwanza zilitumika mwaka 1800's wakati wa Battle of Trafalgar ambapo mtu alishika vibendera mkononi na kupungia watu sijui waendesha na utamaduni huu kudumu hadi leo
....
 
Aisee, wapi huko mama mchungaji
 
Ukweli sasa hivi ni hatari
 
8/Nepal Flag
Ukiiangalia unaweza kufikiri ni tambala la deki au bendera ya wavuta bangi .....la hasha hii ni bendera ya Taifa
Nepal ndo nchi pekee yenye bendera isiyo ya pembe nne
Rangi nyekundu ni alama ya ushindi vitani
Bluu inawakilisha amani
Wakati nyota na mwezi zina sura ya mtu/ kuwakilisha watu
.....
 
7/White Flags
Bendera nyeupe hutumika kama ishara ya kuomba suluhu,kuomba kufikia mwafaka/kukaa meza ya majadiliano
Vitani hutumika kama ishara ya mtu kujisalimisha a.k.a nipo chini ya miguu yako naweka silaha chini, nikamate nimekubali kushindwa
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…