Makapuku Forum

Duh interesting
......
 
TOP TEN
Bendera ni utambulisho wa Nchi,sehemu,tukio n.k
Hata klabu za mpira zina bendera vyama vina bendera na mimi ghetto langu linabendera ya kivyangu vyangu
Sasa tuone bendera zenye maana,historia au muonekano wa kipekee
Karibuni
......
 
10/Dannebrog Flag
Hii ndo bendera ya Taifa la Denmark
Ndo bendera pekee iliyobuniwa karne ya 13 na haijabadilishwa kitu hadi leo
Ilianza kutumika Na Dannebrog State Juni 15 1219 ....hili ni miongoni mwa dola kongwe duniani
Muundo huu wa bendera ukaja kuigwa na maarifa kibao haswa nchi za Scandinavia
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…