Vya safari hivyooha hahahahaha, sio hivyo mdau wa nguvu. Tulikumiss sana humu Jukwaani.
karibu sana, kwenye saa nimeupgrade, nina viatu vya four angle. Sijisifu ila nakutaarifu tu mdau mwenzangu
Eti majiUmesemaa wewe
PoleAhahhah kweli dada na baridi hili acha tu Mungu mwenyewe anajua
Kweli kabisa maisha lazima yaendeleeKuachwa ni sehemu ya maisha ya vijana ila mi hilo huwa halinipi shida hata siku moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeee
Kwa nini hukuja na baby wako sasa
[emoji134] [emoji134] ndo wa tukuyu huyu
TanteePole
[emoji122] [emoji122] [emoji122]....eeh, sasa mbona unanitambulisha jioni wakati ndo unajua ile safari ya kiga imeiva, unaona sasa aunt yangu tayari keshanisemea mbovu na vitisho chekwa kuwa Kigamboni hakuendeki.
Hivi anko wangu unanitakia mema kweli wewe au ndo unataka kunitoa roho?
Ile laini kama umeivunja ntawapa ya landline ndo ujue huu utambulisho sikubaliani nao
HahahaUkimanishaa nn
Mkuu nipo jukwaani toka jana ila kutokana na akili yangu kuto kuwa sawa nimeona niwe msomaji tuha hahahahaha, sio hivyo mdau wa nguvu. Tulikumiss sana humu Jukwaani.
karibu sana, kwenye saa nimeupgrade, nina viatu vya four angle. Sijisifu ila nakutaarifu tu mdau mwenzangu
Ok kipenzi. Zima taa! [emoji8] [emoji8]Baby tulaleee
Siku hizi umepata mchongo niniMimi apa Bitoz jamaan za wewe
Ok kipenzi. Zima taa! [emoji8] [emoji8]
Amen nashukuru kwa ushaur sakayoUsijali Mndali.. Sisi huwa tunapanga ila mpangaji wa yote ni Mungu...
Tuliza akili, kuwa na amani... Wakati wake ukifika kila kitu kitakuwa sawa Mndali...
Nini weweHahaha
Mbavu zangu mieeeeh
Ahahh hamna basi tu jamaanSiku hizi umepata mchongo nini
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ayaaaa mamaaa ....ngojaa nizimeeOk kipenzi. Zima taa! [emoji8] [emoji8]
Kwema tu wanasemsje koromije?Nipo shemeji. Kwema?