Makapuku Forum

[emoji524] ZABURI 37

5.Mkabidhi BWANA njia zako pia umtumaini naye atafanya.

[emoji523] Kuna wakati tunafanya mambo na kuamini yatakuwa kwa nguvu zetu,mchana wa leo naomba nikutie moyo kwamba MUNGU yupo kutufanikisha,alituumba kwa makusudi,anatutunza kwa makusudi,anatuepusha na ajali mbali mbalina hatari zote kwa makusudi,anatuponya kwa makusudi maalumu,hata kuwepo hapa MAKAPUKU NI KWA MAKUSUDI...lipo kusudi la Mungu juu ya maisha yetu..TUSIKATE TAMAA..TUMKABIDHI YEYE NJIA ZETU,NA TUMTUMAINI ..KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA...MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Amina jirani
 
Amen
 
Amen[emoji120]
 
I see
 
Ameeen mamy
 
wewe umesimamia wapi hapo mdau
 
Ameni.. Ubarikiwe mama mchuchu
 
Tetesi za usajili ....

Confirmed. ... TERRY ATUA VILLA
Aston Villa wamemsajili nahodha wa zamani wa England na Chelsea, John Terry.
Mmiliki wa klabu hiyo Dr Tony Xia ametangaza kupitia mtandao wa kijamii.
Mkataba wa Terry, 36, na Chelsea ulimalizika Juni 30.


 
Tuendelee na TETESI ZA USAJILI


[emoji117] Arsenal wanakaribia kutangaza usajili wa winga kutoka Algeria, Riyad Mahrez, 26 ambaye anaichezea Leicester City (Calciomercato).

[emoji117] Arsenal huenda wakakamilisha usajili wa Alexandre Lacazette, 26, katika saa 48 zijazo kwa mujibu wa rais wa Lyon Jena-Michel Auylas (Le Progress).

[emoji117] Paris Saint Germain wamemuulizia kiungo wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, huku Liverpool wakisema mchezaji huyo kutoka Brazil ana thamani ya pauni milioni 87 (Daily Mirror).


[emoji117] Chelsea wana matumaini wataweza kufanikisha mpango wa kumsajili beki wa kushoto kutoka Brazil, Alex Sandro, 26, huku mazungumzo na Juventus yakitarajiwa kufanyika Jumatatu (Daily Telegraph).

[emoji117] Antonio Conte anakabiliwa na ushindani kutoka Manchester City katika kutaka kumsajili beki wa kati wa Roma Antonio Rudiger, 24. Barcelona pia wanataka kumsajili Leonardo Bonucci, 30, ambaye Chelsea wanamtaka, na Juventus wamempa mkataba mpya Sandro ili kumshawishi asiondoke (Daily Mirror).

[emoji117] Jurgen Klopp ameiambia Liverpool kuongeza bidii katika kumsajili kiungo wa RB Leipzig Naby Keita, 22, ambaye atakuwa na mazungumzo na klabu yake kuhusu mustakbali wake nchini Ujerumani (Times).


[emoji117] Kocha mkuu wa Monaco Leonardo Jardim ana matumaini kuwa Kylian Mbappe, 18, hataondoka, lakini amekiri kuwa wachezaji wengi huenda wakaondoka msimu huu (RMC).

[emoji117] Tottenham wamepanda dau kwa mara ya pili la pauni milioni 27 kumtaka kiungo wa Sporting Lisbon Adrien Silva, 28, (A Bola).

[emoji117] Chelsea wamemuulizia beki wa Real Madrid Danilo, 25 (Marca).

[emoji117] Beki wa Paris St-Germain anayenyatiwa na Manchester City, Marquinhos, 23, amesaini mkataba mpya wa mude mrefu kubakia Ufaransa (Independent).

[emoji117] Newcastle wanafikiria kumchukua beki wa Arsenal Kieran Gibbs (Daily Mirror).

[emoji117] Paris Saint-Germain wamemuulizia kiungo mshambuliaji wa Liverpool Philippe Coutinho, huku Barcelona pia wakimnyatia mchezaji jhuyo kutoka Brazil (Daily Mirror).
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…