Makapuku Forum

Bado hujagusia lengo langu..[emoji23][emoji23]
Wengine wapo wapo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilikuwa hapa
Darasa la kupigilia pamba kijanja

Hebu cheki hapa mtu anatokwa povu....kisa? Lengo lake ?
Mtu nimemwambia hakuna uhusiano kati ya uvaaji wa mtu na pesa ila anakoroma tu labda anataka aonekane yeye ni mtu wa maana
JF bhana !!!
.......
 
Mie Nafurahi tu kuona umekuwa
 
Asante sana mpendwa kutuwazia mema ,Afya ni mtaji tuilinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…