Makapuku Forum

Katika dondoo za bbc. ..baadhi ni ....



[emoji117] Viongozi wa nchi tano za Afrika Magharibi wazindua jeshi la pamoja kupambana na wapiganaji wenye itikadi kali kwenye eneo la Sahel.

[emoji117] Qatar leo inatarajiwa kutoa majibu juu ya madai ya nchi za Kiarabu kuhusu nchi hiyo kuunga mkono ugaidi.

[emoji117] Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza atangaza kuwa uchaguzi mkuu ujao utaandaliwa kwa kutumia uwezo wa ndani, huku wananchi wakitakiwa kuchangia.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Ameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…