.....duh, leo sikutokea bhana si unajua usiku kuamkia leo kulikuwa na kigodoro mtaani afu kuepukana nacho nikaenda sehemu kupongezana kwa kumaliza funga. Basi ni kufungua vizibo tu hadi nikasikia adhana ndo nikajirudisha
Jioni hii, naelekea kutizama game hapa mizinga