Makapuku Forum

Leo katika Historia

2/7/1994 - Mchezaji Andres Escobar wa Colombia anapigwa risasi na kufariki huko kwao Colombia baada ya kujifunga goli kwenye kombe la Dunia na kusababisha timu yake itolewe kwenye mashindano.
 
Kwa mujibu wa kabudi miswada ya sheria ya madini haitahusu kampuni zinazoendelea
Je kuna kampuni mpya zimeingia ukiacha hizi zilizopewa mikataba ya kumiliki migodi yetu?
Kwa mtindo huu kinachofanyika ni maigizo tu kuhusu haya madini yetu
Hakuna vita ya uchumi wala baba yake na uchumi anayosema JPM
 
Leo katika Historia

2/7/1925 - Patrice Lumumba anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo zamani Zaire.
Aliuwawa kikatili mwaka 1961 chini ya Dikteta Kanali Joseph Desire Mobutu
Mmoja kati ya wapigania uhuru wa Kiafrika ...ndiye aliyepigania Congo ipate Uhuru kutoka kwa Wabelgiji
Ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo kuchaguliwa kidemokrasia
Ndiye mwadisi wa Mouvement National Congolais {MNC} Alifariki dunia Jan 17 1961 baada ya kutiwa korokoni na bwana yule (Mobutu) kisha kuteswa
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…