Asante sana Team -Old TrafordKufikia hapo basi leo katika historia haina la ziada. Asante kwa Ibracadabra kwa kusababisha hii siku ya leo..
Asanteni sana wote kwa kuwa kuwa pamoja nami asubuhi ya leo. Niite Jimena Jimenes.... Muwe na weekend njema.... Nawapenda wote
Kwa style hii ??
Morning mkee wa T..Hahaha
Huo ni uchochezi sasa shem
Asante Rafiki kipenz kwa Simulizi na UFTuwe na siku njemaa
PamojaaAsante Rafiki kipenz kwa Simulizi na UF
UshindweeHumu 70% ni team OT..
Ongezea wa ArushaMorning mkee wa T..
Leo katika historia
1/7/1960 Nchi ya Somalia yajipatia uhuru wake
The story is good Rafiki kipenzPamojaa
Leo katika historia
1/7/1960 Nchi ya Ghana yawa Jamhuri na Kwame Nkrumah anakuwa Rais wa nchi hiyo
Nimekuwa vema anko.Bhinamu uko poa ??
Nahisi ni wa kwanza kuwa nayo ....wengine walifuata
Kufikia hapo basi leo katika historia haina la ziada. Asante kwa Ibracadabra kwa kusababisha hii siku ya leo..
Asanteni sana wote kwa kuwa kuwa pamoja nami asubuhi ya leo. Niite Jimena Jimenes.... Muwe na weekend njema.... Nawapenda wote
View attachment 533398Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa My swi Tumosa,
Nawatakieni jumamos njema
Leo katika historia
1/7/1962 Ni Siku ya uhuru wa Rwanda
Wa Dubai...Ongezea wa Arusha
Leo katika historia
1/7/1962 Ni Siku ya uhuru wa Burundi
Leo katika historia
1/7/1966 Matangazo ya kwanza ya rangi katika Television yarushwa rasmi huko Toronto Canada
Leo katika historia
1/7/ 1979 Kampuni ya SONY ya Japan yazindua Walkman ya kwanza Duniani.
Walkman ni radio ndogo za mkononi unazoweka kanda (sikuhizi cd)na kusikiliza music