1/7/ 1979 Kampuni ya SONY ya Japan yazindua Walkman ya kwanza Duniani.
Walkman ni radio ndogo za mkononi unazoweka kanda (sikuhizi cd)na kusikiliza music

1/7/ 1961 Princess Diana anazaliwa.
Alikuwa mke wa mtoto wa malkia wa nchini Uingereza azaliwa.
Princess Diana alifariki mwaka 1997 katika ajali ya gari ambayo imebakia kuwa tata hadi leo

Kufikia hapo basi leo katika historia haina la ziada. Asante kwa Ibracadabra kwa kusababisha hii siku ya leo..
Asanteni sana wote kwa kuwa kuwa pamoja nami asubuhi ya leo. Niite Jimena Jimenes.... Muwe na weekend njema.... Nawapenda wote