Makapuku Forum

Siku tatu sina imani kama zinatoshaa .....

kati ya miswada 3 iliyowasilishwa ...miswaada 2 ina kurasa 11 na Mmoja una kurasa 86...najua 70% ya wabunge wetu hawana uwezo wa kuongeza inpurt...kama nchi Tunataka kukusanya kodi tu kwenye sekta ya madini au kuwa wabia katika production through pertinership investment...Taarifa zote za madini zinamilikiwa na makampuni. minerals reserved, life time ya migodi, n.k sisi tunapewa na wao ndio wanachunguza, Wanazalisha,Wanauza sisi Tunasubilia kodi mezani je nchi nyingine zinafanya hivyo Botswana. N.K nilitamani Asasi za kiraia zinazotoa huduma za kisheria zingesaidia kufafanua sheria hizi. Kama TLS , kituo cha sheria na haki za binadamu wangekuwa wazima wangewapitisha wananchi kwenye vifungu vyote vya sheria bahati mbaya sio hivyo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…