Ndo maana huyu Mwenyekiti nilimfanyia umafia kwa yule najua anafanya kunikomoaa ...sasa na wewe binamu umempa buku daraa lootee kweliiii...ila mimi huyu mwenyekiti huwa ananishangaza, yaani hakosi visingizio. Ningemwambia umesafiri unajua ambacho angekifanya, vipi angeibuka kwa teller? si angechoma nguru mtaa mzima ujue.
Mimi nikaipokea ila nikampoza na buku jero, so jua kabisa unadaiwa, deni likikaa wiki naanza kuweka riba kama vicoba
Ubarikiwe ObeUsiku mwema wadau.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndo maana huyu Mwenyekiti nilimfanyia umafia kwa yule najua anafanya kunikomoaa ...sasa na wewe binamu umempa buku daraa lootee kweliiii
Mm sikurudishii utanisameheee ..jifanye umedondoshaa...
Asubuhi njema binamu ...jana nilikuwa na usingiz wa Gb uncountable
I see,Mungu anatutoa mbali sana tumshukuru
Sure Never give up!To God everything is possible
I see,wanasayansi wako juu
Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu....anakupa apendavyo kwa wakati wake...namfahamu dada alifiwa na mumw miaka ya themanini akamwachia mtoto mmoja wa kiume...2012 mtoto akiwa form four akafariki ghafla.....tukamzika....2014 mwishoni dada yule alipata mume mngine...2016...amepata watoto watatu wakike wawili wakiume mmoja ..huyo ni Mungu asiyeshindwa.tumshukuru kwa kila jambo