Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hifadhi comment yako..Labda Cristina R7 .utampa wewe hiyo assist
![]()
![]()
![]()
......
Leo mtalala na stress..
Hifadhi comment yako..Labda Cristina R7 .utampa wewe hiyo assist
![]()
![]()
![]()
......
Hata Chile kama akifungwa sipati dmstress yoyote sema naombea tu ashindeHifadhi comment yako..
Leo mtalala na stress..
Naona unajijengea defesive mechanism sasa ?Hata Chile kama akifungwa sipati dmstress yoyote sema naombea tu ashinde
.....

Njema za Kwako TranscendWakuu..
Habari za usiku
Angalia T... Usifanye maamuzi Ya hasira... Kuna Waarabu humu.Simple tuu! I don't give a damn ****..
...ila mimi huyu mwenyekiti huwa ananishangaza, yaani hakosi visingizio. Ningemwambia umesafiri unajua ambacho angekifanya, vipi angeibuka kwa teller? si angechoma nguru mtaa mzima ujue.
Mimi nikaipokea ila nikampoza na buku jero, so jua kabisa unadaiwa, deni likikaa wiki naanza kuweka riba kama vicoba
Ya mziki tena hawa watu wananitakia nini jamaan bhinamu wangu ..
Na mm nilimwambia sawa nimekuletea mziki system ila nkamuomba apige kwenye mono sauti ya chini ona sasa apa yataibuka mengine ....hivi bhinamu umeshindwa kuwambia nimesafiri ??
...haiko kwenye bahasha yaani iko wazi unaona kila kitu. tangu lini summons ikawekwa kwenye bahasha. Unahitajika kwa mwenyekiti ukaelezee ule muziki uliofunga juzi uliutoa wapi! Na yule dj sasa ndo balaa yaani kakeshesha watu bila kupenda.
Acha bhana mbona wamesema wewe ndo utailetaa .....na kama umeipokeaa husiifungueee nakuombaa
Nami nakusalimia tu maana si kwa zile sifa zako nilizosikia. Vipi wameshakutumia barua?
Mie mzima kabsaMi sijambo auntie yake sijui wewe?
Tumeachana...
Simple tuu! I don't give a damn ****..
Kuombaomba umeanza lini shemelaNina tatizo la kifedha mkuu...
Fanya kunitoa 1ooK tuu...! Next week nakupa hela yako..
Njoo pm

Umemuona Obe huyo baba watoto![]()
aisee
Ni-assit basiKuombaomba umeanza lini shemela![]()
![]()
Vipi kuna tatizo mke mweeekho kho kho
Waarabu ndio mdudu gani mkuu?Angalia T... Usifanye maamuzi Ya hasira... Kuna Waarabu humu.
Cool tuu mkuuNjema za Kwako Transcend
Kuassist ndo msamiati mpya mjini eeeehNi-assit basi
Mmeo yuko wapi?Kuassist ndo msamiati mpya mjini eeeeh
Mdomo huumba
Shunie hujambo?
Nina kiu mke mwee sanaa ndio mana kufika hapo kwa baba d na binamu nimeshindwa vumiliaVipi kuna tatizo mke mweee