mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Tatizo sio kukupata... Tatizo kurejeshaNaweka
Picha ya avatar yangu hiyo.. kama sitarudisha kwa wakat Ingia Goog image ingiza hiyo picha then utamjua huyo ni nani!
Ukishamjua muulize who Is Mondray basi umenipata..
Kigamboni kwa mama mchuchu siendiii
Safari haipo baba, umelikoroga mwenyewe linyweHalafu ujue wewe ndo unanikosanisha na aunt yangu? Hivi unajua hilo. Sasa ona safari imekufa, mwenyewe nishavaa viatu. Yaani nimeulamba na bado naambiwa safari hakuna,
Safari hakunaHalafu ujue wewe ndo unanikosanisha na aunt yangu? Hivi unajua hilo. Sasa ona safari imekufa, mwenyewe nishavaa viatu. Yaani nimeulamba na bado naambiwa safari hakuna,
Nikuletee kinywaji gani aunt ili tukae chini tuyamalize. Basi ngoja aje ano lee empire asawazishe maana hii haijakaa sawa kabisa.
Naenda kufuata kinywaji
Muulize anko wako kinywaji ninachokunywa ila kigamboni siendiii binamuNikuletee kinywaji gani aunt ili tukae chini tuyamalize. Basi ngoja aje ano lee empire asawazishe maana hii haijakaa sawa kabisa.
Naenda kufuata kinywaji
Muulize anko wako kinywaji ninachokunywa ila kigamboni siendiii binamu
Mke mwee mwambie binamu avue viatu na nguo zake za sikukuu safari ya kwenda kwa mama mchuchu kigamboni hakuna au akambebe teller aende nae
Ngoja waje wa kukuassist
Nyagei mwenyewe kapotea kwani baba d wangu alikuwa hakupendi jamaanNamuweka Nyagei Bond nikikimbia kamata yy tupa ndani..
I miss you shunie..
Vp uko poa lakini..mwambie. lee asiyempenda karudi kundini..
Asante Obe kwa muziki ubarikiweMuziki: Kumekuchwa
Hivi unajua kuwa Makapuku Forum kuwa sehemu inayohusudiwa na kila mwana JF ni kwa sababu ya wewe kapuku unayesoma segment hii ya Muziki na Utamu wa gitaa. Ndiyo, wewe ni mtu bora sana na Makapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa sababu wewe, naam, wewe unayesoma bila kupepesa macho ni sehemu ya Makapuku forum. Hata mimi, kama ulivyo wewe ni muhimu humu, kifupi Makapuku wote tunaifanya forum hii kuwa bora kabisa. Yaani tumeifanya KF kuwa kama Geneva ya JF, kimbilio la kila mmoja, a buffer zone, shokomzoba (shock absorber). Utataka nini ukose huku, siasa, jamimi, maisha, elimu, utani, imani zote utazikuta.
Utakutana na viungo wa hatari wanaotoa assist na kama kawaida ma mastrika wa hatari ambao hatutoi assist kwenye kumi nane. Njoo ukabe utupe penati.
Kuanzia siku inapoanza tunapokutana na wewe mpenzi msomaji, ukiianza siku kwa maombezi, UF, then segment ninayoipenda sana, magazeti, halafu unakutana historia, hadithi halafu mchana tunakutana kwenye kipenzi cha wote, sogozi, jioni tunakuwa kwenye zile mambo nzuri kabisa za 10 kubwa na bora. Sijui kama kuna segment nimeisahau maana kabla ya kulala tunakutana kwenye muziki na mada rahisi. seriously, KF ni nzuri kwa sababu mimi na wewe tupo hapa.
BTW, wataalamu wa umeme wamekuja kwa hiyo wakati tukiendelea kufaidika na umeme wa gesi nchi nzima basi tusubiri umeme wa maji kule nini nini Gorge sijui.
Muziki sasa, anaitwa Ringo Mandlingozi, huyu kama ilivyokuwa jana (sitafanya kukosea tena kwa kuweka muziki tofauti na maelezo ) anatoka SA na ni mwimbaji na muandaaji wa muziki mwenye tuzo kibao kuanzia Kora hadi tuzo za ndani. Umaarufu wa Miriam Makeba uliwezeshwa kwa muziki mzuri wa huyu jamaa.
Ana sauti nzuri inayoshibisha masikio na muziki wake ndio utakaokuburudisha usiku huu. Hivi unajua nini? Wewe ni mtu muhimu humu na ninajiskia poa sana unapochukua muda wako adhimu kutembelea jukwaa hili. LLL
Unataka kufunga goli?Assist me please..
Jimena kayapenda macho ya tapeli,nlikuwa nampa tahadhari kuwa anaweza tapeliwa
Shikamoo Mama yangu
Nyagei mwenyewe kapotea kwani baba d wangu alikuwa hakupendi jamaan
Asante sana mkuu Bitoz1/Frank Abagnale
Alizaliwa mwaka 1948
Alikuwa ni msanii,tapeli wa risiti(cheque) n.k
Miaka ya 1960's alifanya bad cheques katika Nchi mbalimbali yenye thamani ya USD 2.5 Milioni
Hii ni filamu inayoelezea madudu aliyoyafanya
Utapeli mwingine maarufu ni alipotengeneza "slip" fake ya akaunti ya bank na kufanikiwa kuiba USD 40,000 na fasta kuingia nazo mitini
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Tatizo sio kukupata... Tatizo kurejesha
Unataka kufunga goli?
Nimeona aisee my swiUmemuona Obe huyo baba watoto