Makapuku Forum

kho kho kho

Ya mziki tena hawa watu wananitakia nini jamaan bhinamu wangu ..

Na mm nilimwambia sawa nimekuletea mziki system ila nkamuomba apige kwenye mono sauti ya chini ona sasa apa yataibuka mengine ....hivi bhinamu umeshindwa kuwambia nimesafiri ??

...haiko kwenye bahasha yaani iko wazi unaona kila kitu. tangu lini summons ikawekwa kwenye bahasha. Unahitajika kwa mwenyekiti ukaelezee ule muziki uliofunga juzi uliutoa wapi! Na yule dj sasa ndo balaa yaani kakeshesha watu bila kupenda.

Acha bhana mbona wamesema wewe ndo utailetaa .....na kama umeipokeaa husiifungueee nakuombaa

Nami nakusalimia tu maana si kwa zile sifa zako nilizosikia. Vipi wameshakutumia barua?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…