Makapuku Forum

2/Christmas
Husherehekewa Disemba 25
Wakristo duniani note husherehejea kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo .....Alizaliwa na Bikira Maria(Mariamu} baada ya kupata mimba kupitia uwezo wa Roho Mtakatifu{usiniulize zaidi)
Inasemekana iliwekwa makusudi Disemba 25 ili "kuifunika" sikukuu ya wapagani ambao walikuwa na kasherehe kao kila inapofika Siku hiyo
Huko Korea Kaskazini huruhusiwi kusherehekea sikukuu hii na ukikamatwa na bwana mapanki kitakachokupata mimi sijui
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…