Kumbe ni ya siku moja na eid pili jee3/Eid Al--FitrHusherehekewa kutegemeana na kuandama kwa mwezi kati ya Juni 24 hadi Juni 26
Huadhimishwa na Waislamu duniani note baada ya kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani(swaum)
Ni sherehe ya Siku moja ya kidini
Waislamu fafanueni zaidi
Eid Mubarak
......
Kumbe ni juice.. Mie naonaga makopo tuuHahahh naona anakuletea mashkolo mageni baltika ni mbayaa ina taste ya apple
Ngumu sanaToroka ujee dar live tukule maisha
Pleeesea muke ya T..Akuuu
Mie leo na sinzia ujue
Haina kilevi sema ina povu kama beer tuKumbe ni juice.. Mie naonaga makopo tuu
AiseeAnanizingua afu sasa niko nakunywa maji ya vuguvugu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pleeesea muke ya T..
Naona jicho hapo umelegeee kama unakata roho..
Na venye mungu kakupa jicho sasa..
Aawwwwwwh!
Wa pilau ya iddUtangulizi wa nini shemela asubuhi
Hahaha...! Naona anapenda mambo ya kulala lala..[emoji3][emoji3]Em Muulize tuuu
Muite lee tuu shem! Au nyageiJamaan [emoji134] nitabaki na nani mie leo
Kumbe leo tutapigana vikumbo chochoro nyingiBwana nakesha basi peke yangu nitazunguka majukwaa yote nitakapoishia hapo hapo
Hahahaa! Weww kwanza utaitema chini tuuHiyo baltika ni nini tena... Ni juice au... Naonaga makopo tuu
Wewe unapiga maji mie napiga miayo tuu hapaPleeesea muke ya T..
Naona jicho hapo umelegeee kama unakata roho..
Na venye mungu kakupa jicho sasa..
Aawwwwwwh!
MmmmhHaina kilevi sema ina povu kama beer tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee
Ngoja nikuache sasaa
Au niache nae tuu baby..Hahaha
Utakomaa
Hahahaaaa!Hahahh naona anakuletea mashkolo mageni baltika ni mbayaa ina taste ya apple
Shemela acha kufukua makabuli ujue hapa nilipo ni mwendo wa kugongewa like mnuno sio wa nchi hiiWa pilau ya idd
AiseeHahaha...! Naona anapenda mambo ya kulala lala..[emoji3][emoji3]
Weka pichaNdio ni mwenyekiti wa timu weka picha na katibu ni Jimena