Makapuku Forum

TOP TEN
Km nilivyowaambiaga siku hizi jioni/usiku huwa nakuwa bize hivyo nawahi kushusha mzigo kisha naendelea na mengine maana hata mtu akiingia jioni/usiku atazikuta tu

Leo tuangalie wanyama kumi "wambeya" yaani wenye uwezo mkubwa wa kusikia
Mara nyingine # zitaweza kuchanganya hivyo mtu aangalie kilichoandikwa pamoja na kipimo cha sauti
Mawimbi ya sauti hupimwa katika hertz
.
.Karibuni
........
.
 
Karibuuu
 
10/Pigeon Njiwa ni wabaya kwa kusikiliza wambea jamani kinachowazuia wasigeuke kasuku ni kushindwa kukariri maneno/matamshi tu
Njiwa pia ni mmoja kati ya wanyama wanne wenye akili ya kuweza kujitazama kwenye kioo na kugundua ni wao.....Prove it
Wana uwezo wa kusikia sauti kutoka umbali mrefu ...uwezo wao wa kusikia ni kati ya 200 hadi 10,000 Hz
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…