hahahhah anatumia mama mchuchuTtcl
sasa shemela kama umejikubali kuwa lonely mana yake niniiAisee duh
Wanawake hawa wa kuokotelezewa mitandaoni hujajifunza tu? Safari hii kuwa ngangari acha udomozege tafuta mwenyewe hata akikushinda unajua kwamba ni matunda yako na juhudi zako. Hawa wa kupewa hawa - hasa ukizingatia kuwa jamaa aliyekupa ulikuwa unazengea mkewe hapo mwanzo - yaweza kuwa ulikuwa mtego ili kukuumiza. Jichunge ma braza na nina uzoefu na haya mambo. Usiingie tena katika mtego ule ule. Huna moyo wa jiwe ati!Nishapoa
Sasa shunie eh nifanyie fanyie kampango kengine
nimeacha hizo mambo mie sitaki kabisa kila atumie mbinu zake kama domo zege poyeee
You are growing up...fast!!!Am proud to be lonely
Wanawake hawa wa kuokotelezewa mitandaoni hujajifunza tu? Safari hii kuwa ngangari acha udomozege tafuta mwenyewe hata akikushinda unajua kwamba ni matunda yako na juhudi zako. Hawa wa kupewa hawa - hasa ukizingatia kuwa jamaa aliyekupa ulikuwa unazengea mkewe hapo mwanzo - yaweza kuwa ulikuwa mtego ili kukuumiza. Jichunge ma braza na nina uzoefu na haya mambo. Usiingie tena katika mtego ule ule. Huna moyo wa jiwe ati!
Theoretically yes...Practically no! Umekariri ile ile Fizikia ya Form II eti matter can neither be created nor destroyed. My man Albert Einstein might have something different to say about thatLove cant be destroyed ...just transmitted from one to another
Why???You are growing up...fast!!!
Hahahahahahahhah anatumia mama mchuchu
UbarikiweUsiku mwema makapuku wote
Shedede, unauliza majibu kwenye mtihani usio na maswali? Come on man!Why???
Yaani binamu yako ana akili sana, habari za cheusi mangala alishakupotezea kabisa, kisa kuhesabu
Sisi ndio wahamiaji haramu
he he msalimie geisha