Makapuku Forum

ZABURI 116

12.Nimrudishie BWANA nini kwa ukarimu wake wote alionitendea ?

13.Nitakipokea kikombe cha wokovu:Na kulitangaza jina la BWANA.

BABA Asante kwa mchana wa leo asante kwa ukarimu wako,sina cha kukurudishia zaidi ya kukusifu,kukushukuru,kukutukuza na kukuheshimu nawaombea wagonjwa,wenye changamoto mbalimbali wasafiri waangalie kwa wema wako BABA na kuwapa haja za mioyo yakila mmoja Asante BABA kwa wote mahali hapa MAKAPUKU USIWAPUNGUKIE,Waguse ,waponye,wape faraja na matumaini mapya,naomba yote katika jina la Yesu Kristo mpatanishi na mwokozi wetu.Amen

MCHANA MWEMA WAPENDWA MBARIKIWE
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…