Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule jamaa kibokoNapenda ru mbwembwe za SHIMBA na msemo wake "Sihitaji demu wa mtandaoni" halafu anawazodoa Husna na Sheds......huwa nachekag balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Nawe pia mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumanne njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alieturoga kafaaaWaafrika sijui nani katuroga
Inawezekana tunguli zake zimepotea ndio maana hatuponi
....
Siasa ni mchezo mchafu mkuu bila uongo haiendii kabisaaMfano mzuri hapa Tanzania, hebu tuwaangalie wapinzani Kwanza, jinsi wanavyowadanganya wafuasi.
Hapo bado chama tawala.
Ubarikiwe sana Sakayo wa T...[emoji7] [emoji7]
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji109] [emoji109] [emoji109]
Amen asanteAsante kwa kuyapitia mama mchungaji
Nawe pia ubarikiwe na siku njema pia
Si ungeelekezwa kyembe mbuzi ndo wanachinja sana mbuziYeah,niliekeze vingunguti nataka nikaombe kazi ya uchinjaji mbuzi
Dada gwalembukaAmen asante
Amina mamyUbarikiwe sana Sakayo wa T...[emoji7] [emoji7]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kutoka ulinzi mpaka ulozi
Niko poa kabisa sema busy busy tu kiasiAha ha ha ha ha
Uko poa lakini?
Nipo mkuu,pande hizo vipUpo ndugu
Panandi kaka mwaghonaDada gwalembuka
Asante shemeji sakayo
Sisi pia karibu na pole na majukumuNawamiss sana
Nipo husna wa.............Shululu Wa tumosa
Nimependa sana huyo muondoko
Ilikuwa ilijulikana kama Sudan ya Wafaransa French Sudan (Sudanese Republic) hivyo ikabadili jina na kuwa Jamhuri ya Mali
.....