1949 - Lionel Richie anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani.
Pia alikuwepo kwenye kibao cha We are the world cha mwaka 1985 kilichoandaliwa na Michae Jackson " MJ " kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia Nchi za Africa zilizokumbwa na Ukame na Njaa.
*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sasa bado nimekaa hapa seblennahisi bado wanaihangaikia Visa yangu*
Nzuriii mkuuuHabari habari
Napenda ru mbwembwe za SHIMBA na msemo wake "Sihitaji demu wa mtandaoni" halafu anawazodoa Husna na Sheds......huwa nachekag balaa
.......
Happy birthday kipenzi chetu blues1978 -Frank Lampard anazaliwa.
Kiungo wa kati wa zamani wa West Ham, Chelsea na timu ya taifa ya England.
Mmoja kati ya viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 15 iliyopita.
Kombinesheni yake na Steven Gerrard kwenye timu ya taifa haikuwahi kuwa na mafanikio.
Sawa shemejiNzuri kabisa shemeji
Super Frankie Lampard...Happy birthday kipenzi chetu blues
Pamoja mkuuNjema mkuu
1946 - Xanana Gumao anazaliwa.
Ni Rais wa kwanza wa East Timor ( Timor Mashariki )
Waafrika sijui nani katurogaTatizo hatutumi akili zetu vizuri,
HBD Lionel Richie1949 - Lionel Richie anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani.
Pia alikuwepo kwenye kibao cha We are the world cha mwaka 1985 kilichoandaliwa na Michae Jackson " MJ " kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia Nchi za Africa zilizokumbwa na Ukame na Njaa.
Sawa mkuu karibu tuungane tenaPurukushani tu ndugu
Nzuri mkuuHabari habari
HBD balleti1976 - Juliano Belleti anazaliwa.
Beki wa kulia wa zamani wa Barcelona, Chelsea na timu ya taifa ya Brazil.
Alitwaa Uefa Champions League mwaka 2006 wakati Barca ikiifunga Arsenal 2-1 huku yeye akifunga goli la Ushindi.
Pia ametwaa Kombe la Dunia mwaka 2002 akiwa na Brazil.
Happy birthday1987 - Asmir Begovic anazaliwa.
Kipa wa sasa wa Bournemouth ambaye pia amewahi kukipiga Chelsea na Stoke City.
HBD lampard1978 -Frank Lampard anazaliwa.
Kiungo wa kati wa zamani wa West Ham, Chelsea na timu ya taifa ya England.
Mmoja kati ya viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 15 iliyopita.
Kombinesheni yake na Steven Gerrard kwenye timu ya taifa haikuwahi kuwa na mafanikio.
HatariiiiiiiiSuper Frankie Lampard...
Asante sana mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumanne njema.