Makapuku Forum

Duu Kinyume cha Thabiti n huyu
 
Ndiyo. Nimeenda kule kutest zali na kuangalia kulivyo. Wana kasi ya ajabu. Makapuku itabidi tuitishe kikao japo nadhani rais wetu ameshalitolea ufafanuzi wa kutosha suala hili. We have to unite even more...
Kipaumbele cha uzi siyo kuwa na post nyingi yaani kupost upuuziupiuzi tu ili sijui uwe na kasi au post nyingi mfano sijui kupost makorokoro km vile ....5%"(8$*"!? #@2'63?#:#)'&%&$$::;;"%-"#:++#_'

Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hauwezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/umoja miongoni mwetu

Tufanye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu nje ya Jf na yanasonga
.......
 
shukriya Bitoz
sikuwahi kujua hili
 
Ule hautadumu coz hawana chochote shida yao kubwa ni like tu basi
 
Kwelii kabisa mkuu
 


maneno mujarabu kabisa. Niongeze nini tena, la. well, wmisho hakuna nukta ngona niiweke.
Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu
.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…