Makapuku Forum

1976 - Soweto Uprising: Wanafunzi 15,000 wanapambana na askari huko Afrika ya Kusini na kusababisha askari hao kuwauua wanafunzi hao kwa risasi.

Walikuwa wakipinga Apartheid Policy (unyanyasaji waliokuwa wakifanyiwa weusi na weupe/Makaburu)
Mfano ubaguzi wa rangi,Weusi kupewa huduma mbovu huku weupe wakihudumiwafirst class n.k Kila mtu keshawahi kuiona Hii filamu ambayo ni kisa cha kweli kuhusu tukio hilo
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…