Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Usinichekeshe bwana. Eti zigo la ukweli na ngozi fulani hivi. Sisi akina ngosha tunalaumiwa sana kuwa eti tunapenda ngozi nyeupe. Mimi sijali rangi wala kabila ali mradi tu mtu tuelewane kimitazamo. Kuhusu ng'ombe hilo halina tatizo. Ninao wa maziwa, wa kawaida na madume ya kulimia huko kijijini. Baba mkwe atakuja achague mwenyewe anachotaka. Baba Paroko basi na aachie mibaraka yake ili iwe!Hakuna matabaka mkuu, ndio maana likes zako 5 sawa na bitoz, hapa usawa upo sana.
Hili la kimwana usiwe na hofu pitia kwa paroko jambilo ana mafaili ya warembo waloleta maombi ili kupata wenza. Najua unapenda zigo la ukweli na ngozi ya rangi flani kwani file lako liko kwangu wew andaa ng'ombe wa kutosha kama jadi yenu watu wa kanda ile
Karibu ndugu. Hata mimi ni mgeni lakini nimekaribishwa vizuri sana. Pengine huko mbele itakubidi ujikaze uandike sawasawa kidogo. Hii "axnten" mh. May be makapuku hawana noma. Ngoja kuche wenyeji waje.Hbrn jmn,makapuku nikaribishen na mm kama nna vigezo mnavyovihitaji km cna jibiwe kwa upendo tu ntaelewa na kutoka kimykmy wapendwa!!!!!axnten!!
Na kwako pia ndugu
Hahahahaass, ngariba!!!!Mzee wa pcm, hujamtendea haki faiza foxy amepanda cheo anaitwa Ngariba faiza foxy
Mhola sana Ngosha.Unataka kuniambia kuwa hapa kwa makapuku hakuna matabaka? Ina maana mimi wa kuja ninathamimiwa sawa na esteemed founder Sir Bitoz na officials wengine?
Ile kitu roho inapenda ukiwa mgeni hivi ni ngumu. Waweza paramia kapuku wa mtu halafu ikawa shida. Ila ingependeza sana japo kwa sasa niko mbali na Bongo kwa muda kama wa miezi mitatu hivi. Nafurahi tu jinsi nilivyopokelewa. Kule kwa wenyewe huwa ni nadra sana kwangu kupata likes...
Morning too braza.Goodmorning to you all,
Hope mko poa
Salama kabisa Mkuu, habari ya mwamko!Gud mornin wadau
Umeamka salama kabisaMorning too braza.