Wadau kwa wale waliokuwa wanajiuliza kuhusu JK kushtakiwa kwa aligoyafanya akiwa Waziri nafikiri Fundu Lissu kawafafanulia vizuri kwamba Wakati akiwa Waziri hakuwa na kinga ya urais hivyo hata sasa anaweza kushtakiwa kwa yote aliyoyafanya kabla hajaingia pale Magogoni hivyo hata Sizonje anaweza pia kushtakiwa kwa uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa Waziri
Niwatakie siku njema
...........