We si umelike post yake kana kwamba imekuvutia sasa mbona unamkataza??Mpambano huu na jimena hauna tija potezea ikiwa wew ni me,
Hapa ni kijiwe cha peace...hatupendi malumbano na ligi au kuonyrshana ubabeWEWE KUNA ALIYEKUOMBA USOME MAONI YANGU NA KUYAJIBU KWA HASIRA? UNGEWEZA KUYAPITA NA KUSEPA. WEWE BILA SHAKA UTAKUWA MIONGONI MWA WALE MEMBERS WANAONYANYAPAA WENZAO HUMU NDANI.
YapotrzeeUzi ni wa makapuku..... Unapokuja kutoa ushauri kuwa hatuko sahihi na bla bla kibao kana kwamba tumekwambia tuna shida ya ushauri wako ndo napokuona wa ajabu...
nipo Man city kwa mkopomashiki wa Real Madrid Vs Manchester City wekeni like hapa za kutosha alafu ukiwa unaweka like nuia moyoni ukisema "eeh Mungu naomba timu yangu .... ishinde" na Mungu atajibu maombi yako
Wanazidi mnoooo kujifanya much knowYapotrzee
Yameisha
Be peace
..............
Hata ukitaka kumuua panya lazima umpe samaki au dagaa ilhali umempaka sumu, like nimempa kumvuta apokee kaushauri cha kata maneno, natamani kuona AMANI INATAWALA humu, ci wajua nafasi yangu mkuu Ximena jamani!We si umelike post yake kana kwamba imekuvutia sasa mbona unamkataza??
Sipambani nae ila nimemwambia tu ili ajue kuwa kujifanya kwake Mshauri nasaha hakutaweza kumpa umaarufu anaotafuta kupitia makapuku
Real Madridnipo Man city kwa mkopo
Mti wenye matunda....Wanazidi mnoooo kujifanya much know
Nashukuru umeniunga mkonoYapotrzee
Yameisha
Be peace
..............
Peace and loveHata ukitaka kumuua panya lazima umpe samaki au dagaa ilhali umempaka sumu, like nimempa kumvuta apokee kaushauri cha kata maneno, natamani kuona AMANI INATAWALA humu, ci wajua nafasi yangu mkuu Ximena jamani!
Agape love to youPeace and love
One loveMti wenye matunda....
But yameisha
..........................
Ni salama, habari za wapi?Ooooh sijambo mandelaa kiwelu, vp pande hizo!
Kwasababu fake pastor umesema basi sawaaaaaaAmani itawale potezea tu mrembo
Nipo upande wa majirani zangu leoReal Madrid
HeheheheHahahahahaha
tuko sawa mkuuNipo upande wa majirani zangu leo
Na huo msamaha nao fake!Kwasababu fake pastor umesema basi sawaaaaaa