Makapuku Forum

8/Ghana Inajulikana kama pwani ya dhahabu yaani Gold Coast
Inapatikana huko Afrika Magharibi
Migodi ya dhahabu inachangia GDP kwa 5%....inachangia pia 37% ya pesa za kigeni(export trade)
Ghana huzalisha zaidi ya Kg 100,000 za dhahabu kwa mwaka
Na inakadiriwa kuwa na hazina ya Tani 1,400
........
 
7/Canada Achilia mbali kilimo cha ngano ambayo wamediriki kuiweka kwenye bendera ya Taifa...Canada pia nimzalishaji mzuri wa dhahabu huko Amerika Kaskazini
Kiwango kikubwa huzalishwa huko Ontario....nafikiri mshaelewa kwanini jamaa fulani JF anajiita hivyo
Huzalisha Kg 110,000 za dhahabu kwa mwaka
......
 
5/Afrika Kusini
Nafikiri kila mtu amezoea kuona simulizi za migodini kupitia tamthilia ya Isidingo The Need
Dhahabu ndo chimbuko la Jiji la Johannesburg lililoanzishwa 1886
Ardhini ina hazina ya tani zaidi ya 6,000
Huzalisha Kg 190,000 za dhahabu kila mwaka
......
 
Aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…