Makapuku Forum

Kweli mama mchuchu usiunenee mabaya ulimi wako [emoji120]
 
Sio mama tu wanaostahili kuheshimiwa hata ng'ombe. Kama unataka kizazi chako kiheshimiwe ni vyema ujiheshimu Kwanza.

Kwako swali nililoulizwa ni zuri kisa niliulizwa mimi au? Kwanini hukukemea nilipokashifiwa mimi?
Huyo ana Interest hapo lakini ukimwambia atatoka povu huwezi amini [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…