Makapuku Forum

Unafiki! Si kwa kujikomba huku aisee. "Rafiki kipenzi. Sawasawa kabisa. Pamoja mkuu". Dah! Sote tunajua kuwa huyo ni mume mwen.....[emoji23][emoji23][emoji23]
wacha uchonganishi bagheshi.... Kumbuka imeandikwa Kwenye Bible na hapa ninanukuu:"Heri wale wapatanishi maana wataitwa wana mungu" mwisho wa kunukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…