1955 - Watazamaji 83 wa mbio za za magari wanafariki Dunia huku 100 wakijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika mashindano ya 24 hours of Le Mans.
Inakuwa ni ajali iliyoua watazamaji wengi katika historia ya mashindano ya magari.
Yaani mwembambaMbavu mbili ndiyo nini? Misemo hii iko localized na usi-assume kuwa kila mtu anaijua...
Asante kwa ufafanuzi shemeji. Misemo mingine huku Koromije haifiki!Yaani mwembamba
Uzuri wa wenzetu ajali ikitokea wanajifunza na kufanya marekebisho. Bila shaka huu ulikuwa ndiyo mwanzo wa kujenga zile kuta imara na bonyevu kutenga magari na watazamaji. Siyo kama sisi ajali ile ile inatokea kila leo na hakuna kinachofanyika. Tunaishia kusema eti watu wanatoa makafara yao ya Freemason!
Namtania tu Shem wangu [emoji23]Pole pole shemeji. Ugawiwe nini tena jamani? Kaa mbali na makuwadi please! Msubiri Shedede wako...
AsanteeLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na Jumapili njema.
unaweza kubisha shemelaAisee
na kichwa [emoji85]Mimi pua tu
haya maghorofa usambaani yamejaa ndani ndani huko milimaniMaghorofa ya Koromije na Gamboshi...
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Asante kwa ufafanuzi shemeji. Misemo mingine huku Koromije haifiki!
Asante MussolinLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na Jumapili njema.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Asante Mussolin
1962 - Wafungwa Frank Morris, na ndugu wawili Clarence na John Anglin wanakuwa wafungwa pekee kufanikiwa kutoroka katika Gereza la kisiwa la Alcatraz huko Marekani.
Gereza la Alcatraz lipo kisiwani na limezungukwa na maji yenye baridi kali na kina kirefu sana lakini Wafungwa hawa walifanikiwa kutoroka na hawakuwahi kuonekana tena.
Licha ya msako mkali wa kwenye maji, ardhini na anga wafungwa hawa hawakuwahi kupatikana tena, licha ya tetesi kudai walifanikiwa kutoroka na kwenda Brazil ila kuna wengine wanaamini wafungwa hao walikufa kutokana na baridi kali ya maji japo hakuna maiti iliyowahi kupatikana.
[emoji106]Cheka shemeji yangu cheka. Happiness is everything!
Na tulivyo na imani za kishirikina km za "bwana yule"Uzuri wa wenzetu ajali ikitokea wanajifunza na kufanya marekebisho. Bila shaka huu ulikuwa ndiyo mwanzo wa kujenga zile kuta imara na bonyevu kutenga magari na watazamaji. Siyo kama sisi ajali ile ile inatokea kila leo na hakuna kinachofanyika. Tunaishia kusema eti watu wanatoa makafara yao ya Freemason!