Makapuku Forum

Hii ni nzuri kwa afya mkuu /wakuu

Kiukweli ukitaka kumjua mtu kama yuko sawa upande huu make mm naamini wakunyime vyote lakin hii kitu ujaliwee lazima hii situation awe nayo ..angalau ikipungua mzee awike mara 4-5 usiku umelala

Kitaalamu inaitwa NPT nikimaanisha Nocturnal Penile Tunescence wengi wamezoea kuexperience hasa asubuh kama wazee wenzangu wanavokiheshimu kama morning wood...ila ndo hiyo situation ya usingizini...

Asante Bitoz
 
Kiafya cha asubuhi kina madhara kuliko kahawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…