BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kupigana kabisa,haifai ukijitambua ni rahisi sana utajua tofauti ya hayo yote...majaribu hayanabudi kutokea ,na Mungu hutengeneza njia na milango ya kutokea ukijitambua utaiona na utatoka tu,ila ni mchakato mgumu sana..na ndio maana unaona wanawake wanafall kuwa victims..usipoelewa wanachopitia utawapa kila jina..Mungu atusaidie sana kusaidiana kuwafanya wanawake waweze kuona dunia ni mahali pazuri pa kuishi.ID ya zamani bila shaka itakuwa ulishamtolea nje na sasa ameamua kujisulubu upya. Ila wanawake kusema kweli mna kazi. Imagine kutongozwa hivi kila siku. Mi ningekuwa napigana kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu mwema Lee,ameniamsha namimi namshukuru ubarikiwe[emoji120]Wakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..Mwenyezi Mungu tunamshukuru kwa hilo ....soon UF
Wenzetu wako mbali sana kwakweli,Mungu atusaidie kujifunza na kufanyia kaziUF ...
Na wewe pia mama mchungajii ubarikiweMungu mwema Lee,ameniamsha namimi namshukuru ubarikiwe[emoji120]
Nawe pia LeeWakuu tuwe na siku njema. ..
but remember kapuku...
Morning mme mweeNawe pia Lee
Oooh!nimejifunza
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]ID ya zamani bila shaka itakuwa ulishamtolea nje na sasa ameamua kujisulubu upya. Ila wanawake kusema kweli mna kazi. Imagine kutongozwa hivi kila siku. Mi ningekuwa napigana kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha I see
Mkuu za kuamshwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ila panauma sana
Good morning baba mchuchuGoodmorning famile
I see,ujima
Jambo jema sanaMungu mwema Lee,ameniamsha namimi namshukuru ubarikiwe[emoji120]
Morning mtoto wa MaoMorning mme mwee