BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante sana[emoji120]Hapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...
To be more precisely ni kwamba alipigwa risasi saa 12:00 PM November 22 eneo la Dealey Plaza (mbele kidogo ya Jengo la Texas Book Depository ambako inasadikiwa Oswald alikaa)
Alifikishwa hospitali ya Parkland Memorial saa 1:38 PM
Katibu msaidizi wa mawasilino ya Ikulu, Malcolm Kilduff alitangaza kuwa Kennedy amefariki majira ya saa 1:45... Inaaminika kwamba alikuwa amefariki kama saa 1:00 PM ila hakutangazwa muda huo ili makamu wake wa Rais Lyndon aweze kuondoka eneo la hospitali kwa usalama wa wake in case kama ilikuwa ni organized assassination maana yeye ndiye second in power..
Pia swali lako kuhusu nduguye... Naamini unamuongelea Robert (au maarufu Bobby)... Hapana hakufa kesho yake... Kama kumbukumbu yangu iko sawa, alikufa mika mitano baadae (1968)
Nadhani nimejibu swali kwa sehemu..
Nilikuwa nae lunch mkuuUmeonana nae leo.... Mbona unatupiga saundi T.?
Poa chaliii akeNi ajeee
Asante kwa.ufafanuzi.Umemjibu vizuri
Ila hajakuuliza vizuri
Nduguye ni RFK ambaye naye alipigwa risasi siku na mwaka tofauti ndiye aliyemlenga na nilimjibu kwamba alikufa kesho yake
Hivyo huyo mdau inaonekana kashindwa kuwatofautisha RFK na JFK maana wote waliuawa kwa kupigwa risasi ila ni matukio mawili tofauti
Ndiyo maana Hakuliamini jibu nililompa
Shukrani mdau
........
PamojaaaIf you didn't know, now you know!! Napitaga sana humu kimya kimya hahahah [emoji23] [emoji23]
Naheshimu sana hizi harakati... MAKAPUKU FORUM
Long live!! One love brothers & sisters... Jah bless
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah nipo shemeji...
Leo nataka nishinde hapa barazani kwako na nifuturu hapa hapa... Hata mkinifukuza sitoki [emoji35] [emoji35]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...
To be more precisely ni kwamba alipigwa risasi saa 12:00 PM November 22 eneo la Dealey Plaza (mbele kidogo ya Jengo la Texas Book Depository ambako inasadikiwa Oswald alikaa)
Alifikishwa hospitali ya Parkland Memorial saa 1:38 PM
Katibu msaidizi wa mawasilino ya Ikulu, Malcolm Kilduff alitangaza kuwa Kennedy amefariki majira ya saa 1:45... Inaaminika kwamba alikuwa amefariki kama saa 1:00 PM ila hakutangazwa muda huo ili makamu wake wa Rais Lyndon aweze kuondoka eneo la hospitali kwa usalama wa wake in case kama ilikuwa ni organized assassination maana yeye ndiye second in power..
Pia swali lako kuhusu nduguye... Naamini unamuongelea Robert (au maarufu Bobby)... Hapana hakufa kesho yake... Kama kumbukumbu yangu iko sawa, alikufa mika mitano baadae (1968)
Nadhani nimejibu swali kwa sehemu..
Tufanye usajiliii[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] asante mkuu..
Karibu sana make jamaa alivoona hii storry akakutag tukajua kimenuka nnHahahah... Leo nimependezwa tu nishinde humu!! Its great in here..
Ngoja nimuite nifah kwanza [emoji23]Tufanye usajiliii
Za ngarenarooPoa chaliii ake
Ndo na mm nilitaka nimuiteeNgoja nimuite nifah kwanza [emoji23]
Ngarenaroo kwema kabisaaa yaani barida mwanangZa ngarenaroo
Uko poa lakiniNgarenaroo kwema kabisaaa yaani barida mwanang
hatutoi kikiiiii umetoka kwenye uzi wa kuponda makapuku umekuja hukuIna maana hii Post yangu hamuioni au Ndio huku kuna ubaguzi na kujuana baadh ya wat fulan?? [emoji51][emoji51][emoji36][emoji36][emoji36]
Hiyo hapokama kweli nyie ni makapuku hebu weka like kwenye comment hii.
kila atakaye like nitamzawqdia like za kutosha hata akikohoa tu.
Kwakweli namshukuru Allah niko salama kabisaaaaUko poa lakini
hahahhah shemela sitaki ujueNdoa yenu tusingekuwa tunaijua, ingetupasua kichwa, lakini sasa hatuna pressure kabisa