he he hajazaliwagwa huyoSifa za Mwanamme bora..
1. Hanywi Pombe
2. Havuti Sigara
3. Hachepuki
4. Mkweli
5. Mcha Mungu
6. Ana Hela
7. Handsome
8. Mpole
9. Anajua Mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI.
Sisi wa Duniani tuvumiliane tuu.. Maana Vita ya Kumtafuta Mume Bora haijawahi kumuacha Mtu Salama
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]
Mwanao shunie huko aliko ameshikilia mbavu, si kwa kucheka huko[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] chizi weweHaweziiii unataka atundikee juu na makofiii
nakupenda mie jamaan baba d wangu
Kitengo cha figisu na propaganda kilikuwa dhaifu.
me yangu nayamaliza mwenyeweha ha haaaaaaaaaa hayaaaa. kila la kheri! Mkihitaji ushauri am here!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mweeeNaona umerudi kupokea maflower kwa mama mchuchu,karibu nyumban shemela
Kuongeza majukumutamaa ya nini ilikua
hahhahah acha nikupe basi [emoji253] [emoji253] [emoji253]Inaniumaa ujuee
Siutakiiii ushaurii wakoha ha haaaaaaaaaa hayaaaa. kila la kheri! Mkihitaji ushauri am here!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mwee umeua hizo ndio za binamu alizozizoea na emoji ya ngumi[emoji3] [emoji3] [emoji3] aje apokee asante na likes znamtosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sifa za Mwanamme bora..
1. Hanywi Pombe
2. Havuti Sigara
3. Hachepuki
4. Mkweli
5. Mcha Mungu
6. Ana Hela
7. Handsome
8. Mpole
9. Anajua Mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI.
Sisi wa Duniani tuvumiliane tuu.. Maana Vita ya Kumtafuta Mume Bora haijawahi kumuacha Mtu Salama
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]
Haaaaahaaaa aisee
Nae anapelekeshwa tu kama Mama Samia
.....
Mi nilijua tu vurugu zako ni Ngoma ya kitoto hio haikeshiNimekuachiaaaa demii
Shunie wangu ananitoshaa
Ila weweakufweee tu hakuna namna
shemela umuejuaje yaan naonekana kama chizi [emoji23] [emoji23]Mwanao shunie huko aliko ameshikilia mbavu, si kwa kucheka huko
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mwenye nayo yupo, sasa ampe nani zaidi ya mukongoMama mchuchu leo nakuona mama angu sababu baba mchuchu yupoo ni mwendo waa [emoji253] [emoji253]
Lengo langu limetimianafurahi kusikia hivyo