Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
NiajeeeMakapuku
NiajeeeMakapuku
kushare siweziWeeeee thubutuuu
Sipo!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ndio ushashirikishwa hivyo

Akijibu nitagNa mtoto je?
hahahhhHapa ni macho na vidole, masikio hayahusiki
Mdogo wangu kivipiihuyo mke mdogo wako unayemtaka
mtoto tutalea tu hakuna namnaNa mtoto je?
Ya sinza au ItalyKizembe hivooo ...ujue wewe ndoa tulifungia Vatican city
.....Kwenye nini mm nakupa taarifa tu ...
Zamu hii mushenga binamu
Shunie jionee
Na ukimwachia.................uwe na amani mzeewakungoa me akiwepo kiroho safi tu namwachia
kizembe hivoo si ndio unavyotaka weweKizembe hivooo ...ujue wewe ndoa tulifungia Vatican city
HBD Cafu1970 - Cafu anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.
Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.
Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.
Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
ulipo nipo mushenga me na ww tumetoka mbali sana
Atalelewajee bila wazaz woteemtoto tutalea tu hakuna namna
Mbona sioni trafick akipima hapo si kesi kabisa hiyoDARGAI, PAKISTAN
Watu wakivuta gari lililopinduka juu ya kilima baada ya kupakia Ngano kupita kiasi.![]()
*************************
Kesho pia ni siku tutaendelea kujuzana kwa wiki nzima.
Nakutakieni mchana mwema
Sinza mme mweeeeYa sinza au Italy