Akugawe wapi? Ananitega tu. Hajui Msukuma kwa sasa nipo levo zingine kabisa. Ajaribu kukugawa kwa Mzeewakungoa aone moto itakavyowaka. Watu wenye wivu wa kupindukia wana tabia hiyo. Wanatest zali halafu moto ukiwaka wanaanza kuhaha...
Kazi unayo. Mwingine aliishia kuwa mlinzi wako. Mwingine kawa rafiki kipenzi. Mwingine atakuwa...Kuoa mwanamke mrembo kama Shunie ni mateso....
Huwa anakuitaa hivo lakini
Mzeee wa kungoa nilimjua mapema ila nkawin his mind now rafiki kipenzi
Shunie na umayai mayai wake Koromije hata siku moja hawezi kusavaivu. Huyo kaa naye huko huko mjini mkuu tena ikibidi Masaki kabisa kwenye geti lake ukiondoka unafunga geti na funguo unakwenda nazo!Alafuu unanichanganyaaa....
Si msukuma wako wa koromijee
Itoeee bhanaaaanisamehe baba d au niitoe tu nirudishe ya mwanzo
Subir kidogooNipatie bossy
A smart woman is always sexy. Kazisake pesa mama...Ngoja niwahi biashara zangu maana muda ni mali
Toa pichasio msukuma wangu huwa namwita tu msukuma
me sio mayai msukuma ujue halaf naishi uswazi kabisaShunie na umayai mayai wake Koromije hata siku moja hawezi kusavaivu. Huyo kaa naye huko huko mjini mkuu tena ikibidi Masaki kabisa kwenye geti lake ukiondoka unafunga geti na funguo unakwenda nazo!
nisamehe baba d au niitoe tu nirudishe ya mwanzo
Sijui ndo mtu katukanwa hapo? Mi simooooNaungaaa mkonyooo hojaaa
natoaToa picha
Alafu simuoniiimzeewakungoa jaman
hahahhh yupo mmuAlafu simuoniii
Ngoja niwahi biashara zangu maana muda ni mali
Yaan shida tupuuuuu....Kazi unayo. Mwingine aliishia kuwa mlinzi wako. Mwingine kawa rafiki kipenzi. Mwingine atakuwa...Kuoa mwanamke mrembo kama Shunie ni mateso....
Shunie na umayai mayai wake Koromije hata siku moja hawezi kusavaivu. Huyo kaa naye huko huko mjini mkuu tena ikibidi Masaki kabisa kwenye geti lake ukiondoka unafunga geti na funguo unakwenda nazo!
NitaupitiaSubir kidogoo