Ni Fossett10/Steve Fissett
Alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa Kimarekani aliyezaliwa April 22 1944
Pia alikuwa ni mwanaanga/rubani na pia mwanamaji
Alikuwa ndiye mtu wa kwanza kusafiri kivyake kuizunguka dunia mfululizo kwa kutumia air balloon
Alitoweka mnamo Sept 3 2007 wakati akikatiza anga la Nevada desert
Tangu hapo hakijawahi kuonekana kitu chochote kumuhusu
.........
Hivi Kenedy alikufa muda mfupi baada ya kutandikwa risas au siku moja baadae?Nini tena
Kwema kamanda. Shemeji hajambo?
Matapeli haya yana njia nyingi mkuu. Na ukizubaa tu unalizwa!!!
Sijuii mkuuHivi Kenedy alikufa muda mfupi baada ya kutandikwa risas au siku moja baadae?
Sahihisho kidogo Madenge. Ni Steve Fosset na siyo Fisset. Isitoshe mabaki ya kindege chake kidogo yalipatikana na pamoja na nayo vipande vya mifupa ya binadamu iliyoungua. Uchunguzi wa kiforensiki ulithibitisha kuwa hiyo ilikuwa ni mifupa yake. Inasemekana kindege chake hicho kilikumbwa na dhoruba kali ya upepo injini ikashindwa kuhimili misukosuko na kikajibamiza kwenye miamba milimani. Milionea huyu ni wazi aliungua kabisa kabisa japo pia inawezekana mabaki yake ambayo hayakuteketea yaliliwa na wanyama (mf. mountain lions, tai, coyotes n.k). RIP mwanaanga na mvumbuzi Fosset...10/Steve Fissett
Alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa Kimarekani aliyezaliwa April 22 1944
Pia alikuwa ni mwanaanga/rubani na pia mwanamaji
Alikuwa ndiye mtu wa kwanza kusafiri kivyake kuizunguka dunia mfululizo kwa kutumia air balloon
Alitoweka mnamo Sept 3 2007 wakati akikatiza anga la Nevada desert
Tangu hapo hakijawahi kuonekana kitu chochote kumuhusu
.........
Bora hawa watoto warudi shule ....au bhinamu njoo uchukue mtoto wanko huyu babu siku moja kanichoshaa na hili litoto langu....
Eti hesabu za vipeuoMsimsifu huyu dada eti ana moyo Shunie , hii inaitwa mchepuko unapochepukwa.
Yaani kama hesabu za kipeuo vile
nimecheka sana binamuHahahahahaha anaitwa aje akukamate umeiba story yake
msukumaSahihisho kidogo Madenge. Ni Steve Fosset na siyo Fisset. Isitoshe mabaki ya kindege chake kidogo yalipatikana na pamoja na nayo vipande vya mifupa ya binadamu iliyoungua. Uchunguzi wa kiforensiki ulithibitisha kuwa hiyo ilikuwa ni mifupa yake. Inasemekana kindege chake hicho kilikumbwa na dhoruba kali ya upepo injini ikashindwa kuhimili misukosuko na kikajibamiza kwenye miamba milimani. Milionea huyu ni wazi aliungua kabisa kabisa japo pia inawezekana mabaki yake ambayo hayakuteketea yaliliwa na wanyama (mf. mountain lions, tai, coyotes n.k). RIP mwanaanga na mvumbuzi Fosset...
Hii miguu ya mtoto wangu imekaa poa sana, anaonekana atakuwa mwogeleaji mahari na kuleta sifa kwangu na kwa taifa. So, anko mvumilie tu , hapo wapeleke swimming pool
Shunie ni wako huyo. Au subiri Mzee wa Kungoa aje muanze kupambana. Mimi na wake za watu wapi na wapi mkuu?Niajwe msukuma wa shunie
usiniambie nimegaiwa bila kujijuaShunie ni wako huyo. Au subiri Mzee wa Kungoa aje muanze kupambana. Mimi na wake za watu wapi na wapi mkuu?
umenigawa babaNiajwe msukuma wa shunie